Proverbs 30:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama mtu akimdhihaki baba yake, na kudharau utii kwa mama yake, kunguru wa bondeni watamdonoa macho, na kuliwa na tai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Jicho lile limdhihakilo baba, lile linalodharau kumtii mama, litang’olewa na kunguru wa bondeni, litaliwa na tai.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jicho la mtu amdhihakiye babaye, Na kudharau kumtii mamaye; Kunguru wa bondeni wataling'oa, Na vifaranga vya tai watalila.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama mtu akimdhihaki baba yake, na kudharau utii kwa mama yake, kunguru wa bondeni watamdonoa macho, na kuliwa na tai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Jicho lile limdhihakilo baba, lile linalodharau kumtii mama, litang'olewa na kunguru wa bondeni, litaliwa na tai.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Jicho lile limdhihakilo baba, lile linalodharau kumtii mama, litang’olewa na kunguru wa bondeni, litaliwa na tai.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jicho la mtu amdhihakiye babaye, Na kudharau kumtii mamaye; Kunguru wa bondeni wataling'oa, Na vifaranga vya tai watalila.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama mtu akimdhihaki baba yake, na kudharau utii kwa mama yake, kunguru wa bondeni watamdonoa macho, na kuliwa na tai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jicho la mtu amfyozaye baba yake, akakataa kumtii mama yake, sharti kunguru waling'oe mtoni, liliwe na makinda ya kozi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jicho la mtu amdhihakiye babaye, Na kudharau kumtii mamaye; Kunguru wa bondeni wataling’oa, Na vifaranga vya tai watalila.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama mutu akimuchekelea baba yake na kuzarau utii kwa mama yake, macho yake yataondolewa na kibombobombo wa pori na kuliwa na tai.