Proverbs 30:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sisimizi: Wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa hari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
sisimizi: wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchwa ni viumbe wenye nguvu ndogo, hata hivyo hujiwekea akiba ya chakula chao wakati wa kiangazi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa joto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sisimizi: Wadudu wasio na nguvu, lakini hujihifadhia chakula wakati wa kiangazi;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni siafu: kweli hawana nguvu, lakini huvitengneza vyakula vyao siku za mavuno yao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Chungu ni watu wasio na nguvu; Lakini hujiwekea chakula wakati wa hari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
siafu ni wadudu wasiokuwa na nguvu, lakini wanajiwekea chakula wakati wa kipwa;