Proverbs 30:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
pelele: Wanyama wasio na uwezo, lakini hujitengenezea makao miambani;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo, hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wibari ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
pelele: wanyama wasio na uwezo, lakini hujitengenezea makao miambani;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pelele ni viumbe vyenye uwezo mdogo hata hivyo hujitengenezea nyumba zao kwenye miamba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwanga ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
pelele: Wanyama wasio na uwezo, lakini hujitengenezea makao miambani;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni pelele: wao si wenye nguvu, lakini huweka nyumba zao magengeni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wibari ni watu dhaifu; Lakini hujifanyia nyumba katika miamba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
sungura ni nyama wasiokuwa na uwezo, lakini wanajitengenezea makao chini ya mawe;