Proverbs 30:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mjusi: Waweza kumshika mkononi, lakini huingia katika ikulu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, hata hivyo huonekana katika majumba ya wafalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mjusi hushika kwa mikono yake; Lakini yumo majumbani mwa wafalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mjusi: waweza kumshika mkononi, lakini huingia katika ikulu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mjusi anaweza kushikwa kwa mkono, hata hivyo huonekana katika majumba ya kifalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mjusi hushika kwa mikono yake; Lakini yumo majumbani mwa wafalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mjusi: Waweza kumshika mkononi, lakini huingia katika ikulu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni mijusi: mtu anaweza kuwakamata kwa mikono, lakini namo majumbani mwa wafalme wamo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mjusi hushika kwa mikono yake; Lakini yumo majumbani mwa wafalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mujusi, unaweza kumushika katika mukono, lakini anaingia katika nyumba ya kifalme.