Proverbs 30:31 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
jogoo aendaye kwa maringo; tena beberu; na mfalme mbele ya watu wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu, na mfalme jeshi lake linapomzunguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jimbi aendaye tambo; na beberu; Na mfalme ambaye haasiki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
jogoo aendaye kwa maringo; tena beberu; na mfalme mbele ya watu wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu, naye mfalme pamoja na jeshi lake lililomzunguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
jogoo atembeaye kwa maringo, pia beberu, naye mfalme pamoja na jeshi lake lililomzunguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jogoo anayetamba; na beberu; Na mfalme asimamaye mbele ya watu wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
jogoo aendaye kwa maringo; tena beberu; na mfalme mbele ya watu wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni farasi mwenye matandiko kiunoni, ni beberu naye, tena ni mfalme akiviongoza vikosi vyake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jimbi aendaye tambo; na beberu; Na mfalme ambaye haasiki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
jogoo anayetembea kwa maringo, beberu, na mufalme mbele ya watu wake.