Proverbs 30:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama umekuwa mpumbavu hata ukajisifu, au kama umekuwa unapanga maovu, chunga mdomo wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ikiwa umefanya upumbavu na ukajitukuza mwenyewe, au kama umepanga mabaya, basi funika mdomo wako kwa mkono wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikiwa umefanya kipumbavu kwa kujikuza; Au ikiwa umewaza mabaya; Basi weka mkono wako juu ya kinywa chako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama umekuwa mpumbavu hata ukajisifu, au kama umekuwa unapanga maovu, chunga mdomo wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ikiwa umefanya upumbavu na ukajitukuza mwenyewe, au kama umepanga mabaya, piga kinywa chako kofi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ikiwa umefanya upumbavu na ukajitukuza mwenyewe, au kama umepanga mabaya, basi funika mdomo wako na mkono wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikiwa umefanya kipumbavu kwa kujikuza; Au ikiwa umewaza mabaya; Basi weka mkono wako juu ya kinywa chako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama umekuwa mpumbavu hata ukajisifu, au kama umekuwa unapanga maovu, chunga mdomo wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama umepumbaa kwa kujikuza, au kama umewaza mabaya moyoni, kifumbe kinywa kwa kukibandikia mkono!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikiwa umefanya kipumbavu kwa kujikuza; Au ikiwa umewaza mabaya; Basi weka mkono wako juu ya kinywa chako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama umekuwa mupumbafu hata ukajisifu, au kama umekuwa unapanga maovu, chunga mudomo wako.