Proverbs 30:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mambo haya mawili nakuomba ee Mungu, wala usinikatalie kabla sijafa:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Ninakuomba vitu viwili, Ee Mwenyezi Mungu; usininyime kabla sijafa:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mambo haya mawili nimekuomba; Usininyime [matatu] kabla sijafa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mambo haya mawili nakuomba ee Mungu, wala usinikatalie kabla sijafa:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ninakuomba vitu viwili, Ee BWANA; usininyime kabla sijafa:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ninakuomba vitu viwili, Ee bwana; usininyime kabla sijafa:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mambo haya mawili nimekuomba; Usininyime [matatu] kabla sijafa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mambo haya mawili nakuomba ee Mungu, wala usinikatalie kabla sijafa:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninakuomba maneno haya mawili, usininyime hayo, nikiwa ningaliko sijafa bado.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mambo haya mawili nimekuomba; Usininyime [matatu] kabla sijafa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, ninakuomba mambo haya mawili, wala usikatae kunitimizia nayo mbele ya kufa kwangu: