Proverbs 31:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hutafuta sufu na kitani, na kufanya kazi kwa mikono yake kwa bidii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huchagua sufu na kitani, naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hutafuta sufu na kitani, na kufanya kazi kwa mikono yake kwa bidii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huchagua sufu na kitani naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huchagua sufu na kitani naye hufanya kazi kwa mikono yenye bidii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake kwa moyo wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hutafuta sufu na kitani, na kufanya kazi kwa mikono yake kwa bidii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hutafuta manyoya ya kondoo na pamba, kisha hufanya kazi za kuzitumia kwa mikono ipendayo kufanya kazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anatafuta sufu na kitani, na kufanya kazi kwa mikono yake kwa bidii.