Proverbs 31:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye ni kama meli za biashara: Huleta chakula chake kutoka mbali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye ni kama meli za biashara, akileta chakula chake kutoka mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye ni kama meli za biashara: huleta chakula chake kutoka mbali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye ni kama meli za biashara akileta chakula chake kutoka mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye ni kama meli za biashara akileta chakula chake kutoka mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye ni kama meli za biashara: Huleta chakula chake kutoka mbali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hufanana na merikebu za mchuuzi, akileta vyakula vyake toka mbali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye ni kama mashua za biashara: analeta chakula chake kutoka mbali.