Proverbs 31:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huamka kabla ya mapambazuko, akaitayarishia jamaa yake chakula, na kuwagawia kazi watumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye huamka kukiwa bado giza, naye huwapa jamaa yake chakula na wajakazi wake mafungu yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huamka kabla ya mapambazuko, akaitayarishia jamaa yake chakula, na kuwagawia kazi watumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye huamka kungali bado giza huwapa jamaa yake chakula na mafungu kwa watumishi wake wa kike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye huamka kungali bado giza huwapa jamaa yake chakula na mafungu kwa watumishi wake wa kike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena huamka, kabla usiku haujaisha; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huamka kabla ya mapambazuko, akaitayarishia jamaa yake chakula, na kuwagawia kazi watumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huamka usiku, ukiwa haujaisha bado, huwapa chakula waliomo nyumbani mwake, nao vijakazi huwapa kazi ziwapasazo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena huamka, kabla haujaisha usiku; Huwapa watu wa nyumbani mwake chakula; Na wajakazi wake sehemu zao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anaamuka mbele ya mapambazuko kwa kutayarishia jamaa yake chakula na kuwagawanyia kazi watumishi wake.