Proverbs 31:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nikuambie nini mwanangu? Nikuambie nini mwanangu niliyekuzaa? Nikuambie nini wewe niliyekuomba kwa Mungu?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sikiliza, ee mwanangu! Sikiliza, ee mwana wa tumbo langu! Sikiliza, ee mwana wa nadhiri zangu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu? Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nikuambie nini mwanangu? Nikuambie nini mwanangu niliyekuzaa? Nikuambie nini wewe niliyekuomba kwa Mungu?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Ee mwanangu, Ee mwana wa tumbo langu, Ee mwana wa nadhiri zangu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Ee mwanangu, ee mwana wa tumbo langu, ee mwana wa nadhiri zangu:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu? Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nikuambie nini mwanangu? Nikuambie nini mwanangu niliyekuzaa? Nikuambie nini wewe niliyekuomba kwa Mungu?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niseme nini, mwanangu? Niseme nini, mwanangu, niliyekuzaa? Niseme nini, mwanangu, niliyemwapia viapo?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu? Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nikuambie nini mwana wangu? Nikuambie nini mwana wangu niliyezaa? Nikuambie nini wewe niliyeomba kwa Mungu?