Proverbs 31:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hujitengenezea matandiko, mavazi yake ni ya zambarau ya kitani safi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye hutengeneza mazulia ya urembo ya kufunika kitanda chake, huvaa kitani safi na urujuani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hujitengenezea matandiko, mavazi yake ni ya zambarau ya kitani safi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hutengeneza mazulia ya urembo ya kufunika kitanda chake, yeye huvaa kitani safi na urujuani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hutengeneza mazulia ya urembo ya kufunika kitanda chake, yeye huvaa kitani safi na urujuani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hujitengenezea matandiko, mavazi yake ni ya zambarau ya kitani safi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hujitengenezea mazulia, hujivika nguo nzuri za pamba, hata za rangi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hujifanyia mazulia ya urembo; Mavazi yake ni kitani safi na urujuani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anajitengenezea matandiko, nguo zake ni za rangi nyeusi-nyekundu za kitani safi.