Proverbs 31:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hufungua kinywa kunena kwa hekima, huwashauri wengine kwa wema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huzungumza kwa hekima, na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hufungua kinywa kunena kwa hekima, huwashauri wengine kwa wema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huzungumza kwa hekima na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huzungumza kwa hekima na mafundisho ya kuaminika yapo ulimini mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema iko katika ulimi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hufungua kinywa kunena kwa hekima, huwashauri wengine kwa wema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kinywa hukifunua, kiseme maneno yenye werevu wa kweli, nayo maonyo yenye upole yamo katika ulimi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hufumbua kinywa chake kwa hekima, Na sheria ya wema i katika ulimi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anafungua kinywa kwa kusema kwa hekima; anawashauri wengine kwa wema.