Proverbs 31:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usimalize nguvu zako kwa wanawake, usiwape mali yako hao wanaoangamiza wafalme.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usitumie nguvu zako kwa wanawake, uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usimalize nguvu zako kwa wanawake, usiwape mali yako hao wanaoangamiza wafalme.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usitumie nguvu zako kwa wanawake, uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
usitumie nguvu zako kwa wanawake, uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wanaowaharibu wafalme.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usimalize nguvu zako kwa wanawake, usiwape mali yako hao wanaoangamiza wafalme.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiwape wanawake nguvu zako! Wala usizishike njia zao, maana huangamiza wafalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wawaharibuo wafalme.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usimalize nguvu zako kwa wanawake, usiwape mali yako wale wanaoangamiza wafalme.