Proverbs 31:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Madaha huhadaa na uzuri haufai, bali mwanamke amchaye Mwenyezi-Mungu atasifiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kujipamba ili kuvutia ni udanganyifu, na uzuri unapita upesi; bali mwanamke anayemcha Mwenyezi Mungu atasifiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Madaha huhadaa na uzuri haufai, bali mwanamke amchaye Mwenyezi-Mungu atasifiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kujipamba ili kuvutia ni udanganyifu, uzuri unapita upesi, bali mwanamke anayemcha BWANA atasifiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kujipamba ili kuvutia ni udanganyifu na uzuri unapita upesi, bali mwanamke anayemcha bwana atasifiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Madaha huhadaa na uzuri haufai, bali mwanamke amchaye Mwenyezi-Mungu atasifiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Upendezi hudanganya, nao uzuri ni wa bure, lakini mwanamke amchaye Bwana hupasa kutukuzwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye BWANA, ndiye atakayesifiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mapendezi ni udanganyifu na uzuri wa uso haukawii, lakini mwanamuke anayemwogopa Yawe atasifiwa.