Proverbs 31:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakinywa watasahau maagizo ya sheria, na kuwanyima haki wenye taabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wasije wakanywa na kusahau vile sheria inavyoamuru na kuwanyima haki zao wote waliodhulumiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakinywa watasahau maagizo ya sheria, na kuwanyima haki wenye taabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wasije wakanywa na kusahau ile sheria inayoamuru na kuwanyima haki zao wote walioonewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wasije wakanywa na kusahau vile sheria inavyoamuru na kuwanyima haki zao wote walioonewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakinywa watasahau maagizo ya sheria, na kuwanyima haki wenye taabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasije kusahau maongozi kwa kunywa kwao, wakayapotoa mashauri yao wote walio wanyonge.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakikunywa watasahau maagizo ya sheria, na kuwanyima haki wenye taabu.