Proverbs 4:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanangu, sikilizeni mwongozo wa baba yenu, tegeni sikio mpate kuwa na akili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba; sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wanangu, yasikilizeni mausia ya baba yenu, Tegeni masikio mpate kujua ufahamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanangu, sikilizeni mwongozo wa baba yenu, tegeni sikio mpate kuwa na akili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba yenu, sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikilizeni wanangu, mafundisho ya baba yenu; sikilizeni kwa makini na mpate ufahamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanangu, yasikilizeni mausia ya baba yenu, Tegeni masikio mpate kujua ufahamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanangu, sikilizeni mwongozo wa baba yenu, tegeni sikio mpate kuwa na akili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wanangu, sikieni, baba akiwakanya! Yategeni masikio, myajue yenye utambuzi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanangu, yasikilizeni mausia ya baba yenu, Tegeni masikio mpate kujua ufahamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wangu, musikilize maadibisho ya baba yenu, mutege sikio mupate kuwa na akili.