Proverbs 4:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nimekufundisha njia ya hekima, nimekuongoza katika njia nyofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninakuongoza katika njia ya hekima na kukuongoza katika mapito ya unyoofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nimekufundisha katika njia ya hekima; Nimekuongoza katika mapito ya unyofu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nimekufundisha njia ya hekima, nimekuongoza katika njia nyofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ninakuongoza katika njia ya hekima na kukuongoza katika mapito yaliyonyooka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ninakuongoza katika njia ya hekima na kukuongoza katika mapito yaliyonyooka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nimekufundisha katika njia ya hekima; Nimekuongoza katika mapito ya unyofu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nimekufundisha njia ya hekima, nimekuongoza katika njia nyofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimekuongoza katika njia ya werevu wa kweli, nikakuendesha katika mapito yanyokayo;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nimekufundisha katika njia ya hekima; Nimekuongoza katika mapito ya unyofu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nimekufundisha njia ya hekima, nimekuongoza katika njia ya usawa.