Proverbs 4:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Zingatia mafundisho ya Hekima na usimwache aponyoke, mshike kwa makini maana yeye ni uhai wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; mshike, maana yeye ni uzima wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Zingatia mafundisho ya Hekima na usimwache aponyoke, mshike kwa makini maana yeye ni uhai wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake, mshike maana yeye ni uzima wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; mshike, maana yeye ni uzima wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Zingatia mafundisho ya Hekima na usimwache aponyoke, mshike kwa makini maana yeye ni uhai wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yashike kwa nguvu mafundisho yakuonyayo, usiyaache kabisa! Yalinde, kwani ndiyo yaliyo uzima wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkamate sana elimu, usimwache aende zake; Mshike, maana yeye ni uzima wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Shika mafundisho ya hekima na usimwache iponyoke, uishike kwa uangalifu maana ni uzima wako.