Proverbs 4:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Iepe njia hiyo wala usiikaribie; jiepushe nayo, uende zako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; achana nayo, na uelekee njia yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jiepushe nayo, usipite karibu nayo, Igeukie mbali, ukaende zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Iepe njia hiyo wala usiikaribie; jiepushe nayo, uende zako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo, achana nayo na uelekee njia yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; achana nayo, na uelekee njia yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jiepushe nayo, usipite karibu nayo, Igeukie mbali, ukaende zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Iepe njia hiyo wala usiikaribie; jiepushe nayo, uende zako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ondoka hapo, ilipo, usiifuate! Epuka hapo, ilipo, upapite!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jiepushe nayo, usipite karibu nayo, Igeukie mbali, ukaende zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Epuka njia hiyo wala usiikaribie; ujiepushe nayo, uende zako.