Proverbs 4:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu kamwe hawalali wasipotenda uovu; hawapati usingizi wasipomkwaza mtu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa hawawezi kulala hadi watende uovu; wanashindwa hata kusinzia hadi wamwangushe mtu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana hawalali isipokuwa wametenda madhara; Huondolewa usingizi, ikiwa hawakumwangusha mtu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu kamwe hawalali wasipotenda uovu; hawapati usingizi wasipomkwaza mtu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu, wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu; wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana hawalali isipokuwa wametenda madhara; Huondolewa usingizi, ikiwa hawakumwangusha mtu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu kamwe hawalali wasipotenda uovu; hawapati usingizi wasipomkwaza mtu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani hawawezi kulala wasipokwisha kufanya mabaya; usingizi huwapotelea, wasipokwisha kukwaza mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana hawalali isipokuwa wametenda madhara; Huondolewa usingizi, ikiwa hawakumwangusha mtu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu hawalali hata kidogo wasipotenda uovu; hawapati usingizi wasipomukwaza mutu.