Proverbs 4:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njia ya watu wema ni kama nuru ya alfajiri, ambayo hungaa zaidi na zaidi hata mchana kamili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, ambayo hung’aa zaidi na zaidi hadi mchana mkamilifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing'aayo, Ikizidi kung'aa hata mchana mkamilifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njia ya watu wema ni kama nuru ya alfajiri, ambayo hung'aa zaidi na zaidi hata mchana kamili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, ambayo hung'aa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, ambayo hung’aa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing'aayo, Ikizidi kung'aa hata mchana mkamilifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njia ya watu wema ni kama nuru ya alfajiri, ambayo hungaa zaidi na zaidi hata mchana kamili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mapito ya waongofu huwa kama mwanga wa kucha, huendelea ukiangaza, hata mchana wenyewe utimie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing’aayo, Ikizidi kung’aa hata mchana mkamilifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Njia ya wenye haki ni kama mwangaza wa asubui mapema, ambao unaangaza zaidi na zaidi hata muchana kamili.