Proverbs 4:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanangu, sikiliza kwa makini maneno yangu, itegee sikio misemo yangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; sikiliza kwa makini maneno yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanangu, sikiliza maneno yangu; Tega sikio lako, uzisikie kauli zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanangu, sikiliza kwa makini maneno yangu, itegee sikio misemo yangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia, sikiliza kwa makini maneno yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; sikiliza kwa makini maneno yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanangu, sikiliza maneno yangu; Tega sikio lako, uzisikie kauli zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanangu, sikiliza kwa makini maneno yangu, itegee sikio misemo yangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanangu, yasikilize maneno yangu Yategee sikio, ninayokuambia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanangu, sikiliza maneno yangu; Tega sikio lako, uzisikie kauli zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wangu, sikia kwa uangalifu maneno yangu, utegee sikio masemi yangu.