Proverbs 4:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usigeukie kulia wala kushoto; epusha mguu wako mbali na uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usigeuke kulia wala kushoto; epusha mguu wako na ubaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usigeuke kwa kuume wala kwa kushoto; Ondoa mguu wako maovuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usigeukie kulia wala kushoto; epusha mguu wako mbali na uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usigeuke kulia wala kushoto, epusha mguu wako na ubaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usigeuke kulia wala kushoto; epusha mguu wako na ubaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usigeuke kulia wala kushoto; Ondoa mguu wako maovuni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usigeukie kulia wala kushoto; epusha mguu wako mbali na uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usigeukie kuumeni wala kushotoni, upate kuiondoa miguu yako penye mabaya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usigeuke kwa kuume wala kwa kushoto; Ondoa mguu wako maovuni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usigeukie kuume wala kushoto; epusha muguu wako mbali na uovu.