Proverbs 4:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atakuvika kilemba kizuri kichwani pako, atakupa taji maridadi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atakuvika shada la neema kichwani mwako na kukupa taji la utukufu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atakupa neema kuwa kilemba kichwani; Na kukukirimia taji ya uzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atakuvika kilemba kizuri kichwani pako, atakupa taji maridadi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atakuvika shada la neema kichwani mwako na kukupa taji ya utukufu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atakuvika shada la neema kichwani mwako na kukupa taji ya utukufu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atakupa neema kuwa kilemba kichwani; Na kukukirimia taji la uzuri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atakuvika kilemba kizuri kichwani pako, atakupa taji maridadi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kichwa chako utakivika kilemba kipendezachao, utakugawia taji yenye utukufu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakupa neema kuwa kilemba kichwani; Na kukukirimia taji ya uzuri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Itavalisha kilemba cha neema kwenye kichwa chako, atakupa taji lenye utukufu.”