Proverbs 5:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wageni wasije wakajishibisha kwa mali yako, na jasho lako likaishia nyumbani kwa mgeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wageni wasije wakasherehekea utajiri wako, na jitihada yako ikatajirisha nyumba ya mwanaume mwingine.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wageni wasije wakashiba nguvu zako; Kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya mgeni;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wageni wasije wakajishibisha kwa mali yako, na jasho lako likaishia nyumbani kwa mgeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wageni wasije wakasherehekea utajiri wako na jitihada yako ikatajirisha nyumba ya mwanaume mwingine.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wageni wasije wakasherehekea utajiri wako na jitihada yako ikatajirisha nyumba ya mwanaume mwingine.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wageni wasije wakashiba nguvu zako; Kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya mgeni;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wageni wasije wakajishibisha kwa mali yako, na jasho lako likaishia nyumbani kwa mgeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wageni wasijishibishe mali zako, nguvu yako ilizokupatia, wala mapato, uliyoyasumbukia, yasipelekwe nyumbani mwa wengine!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wageni wasije wakashiba nguvu zako; Kazi zako zikawa ndani ya nyumba ya mgeni;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wageni wasipate kushibishwa kwa mali yako, na faida ya kazi yako kuishia katika nyumba ya mugeni.