Proverbs 5:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo utasema, “Jinsi gani nilivyochukia nidhamu, na kudharau maonyo moyoni mwangu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukasema, Jinsi nilivyochukia maonyo, Na moyo wangu ukadharau kukemewa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo utasema, “Jinsi gani nilivyochukia nidhamu, na kudharau maonyo moyoni mwangu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia marudi! Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utasema, “Tazama jinsi gani nilivyochukia adhabu! Tazama jinsi moyo wangu ulivyodharau maonyo!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukasema, Jinsi nilivyochukia maonyo, Na moyo wangu ukadharau kukemewa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo utasema, “Jinsi gani nilivyochukia nidhamu, na kudharau maonyo moyoni mwangu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndipo, utakaposema: Kumbe nilichukizwa nilipoonywa, moyo wangu ukakataa kuchapwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukasema, Jinsi nilivyochukia maonyo, Na moyo wangu ukadharau kukemewa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo utasema: “Kwa nini nilichukia mafundisho? Kwa nini nilizarau ndani ya moyo wangu?