Proverbs 5:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikuisikiliza sauti ya waalimu wangu, wala kuwategea sikio wakufunzi wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sikuwatii walimu wangu, wala kuwasikiliza wakufunzi wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu, Wala sikuwategea sikio langu walionifundisha!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikuisikiliza sauti ya waalimu wangu, wala kuwategea sikio wakufunzi wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sikuwatii walimu wangu wala kuwasikiliza wakufunzi wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sikuwatii walimu wangu wala kuwasikiliza wakufunzi wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu, Wala sikuwategea sikio langu walionifundisha!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikuisikiliza sauti ya waalimu wangu, wala kuwategea sikio wakufunzi wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikuzisikia sauti za wafunzi wangu, wala sikuwategea sikio langu walionifundisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wala sikuisikia sauti ya waalimu wangu, Wala sikuwategea sikio langu walionifundisha!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikusikiliza sauti ya walimu wangu, wala kuwategea sikio wale walionifundisha.