Proverbs 5:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mkeo ni kama kisima cha maji safi: Kunywa maji ya kisima chako mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kunywa maji kwenye kisima chako mwenyewe, maji yanayotiririka kutoka kisima chako mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mkeo ni kama kisima cha maji safi: Kunywa maji ya kisima chako mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kunywa maji kutoka kwenye kisima chako mwenyewe, maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima chako mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kunywa maji kutoka kwenye kisima chako mwenyewe, maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima chako mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unywe maji ya tangi lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mkeo ni kama kisima cha maji safi: Kunywa maji ya kisima chako mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yanywe maji ya shimo lako wewe, nayo maji yabubujikayo katika kisima chako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unywe maji ya birika lako mwenyewe, Na maji yenye kububujika katika kisima chako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kunywa maji ya birika lako mwenyewe, maji yanayobubujika katika kisima chako mwenyewe.