Proverbs 5:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ya nini chemchemi zako zitawanywe mbali, na vijito vya maji barabarani?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Je, chemchemi zako zifurike katika barabara za mji na vijito vyako vya maji viwanjani?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Chemchemi zako zitawanyike mbali, Na mito ya maji katika njia kuu?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ya nini chemchemi zako zitawanywe mbali, na vijito vya maji barabarani?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Je, chemchemi zako zifurike katika barabara za mji na vijito vyako vya maji viwanjani?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Je, chemchemi zako zifurike katika barabara za mji na vijito vyako vya maji viwanjani?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Chemchemi zako zitawanyike mbali, Na mito ya maji katika njia kuu?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ya nini chemchemi zako zitawanywe mbali, na vijito vya maji barabarani?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Je? Chemchemi zako zitawanyike nje? navyo vijito vya maji vitawanyike viwanjani?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Chemchemi zako zitawanyike mbali, Na mito ya maji katika njia kuu?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa nini chemichemi zako zitawanywe mbali, na vijito vya maji katika barabara?