Proverbs 5:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni mzuri kama ayala, apendeza kama paa. Mahaba yake yakufurahishe kila wakati, umezwe daima na pendo lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kulungu jike apendaye, kulungu mzuri: matiti yake na yakutosheleze siku zote, nawe utekwe daima na upendo wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Maziwa yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni mzuri kama ayala, apendeza kama paa. Mahaba yake yakufurahishe kila wakati, umezwe daima na pendo lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kulungu jike apendaye, kulungu mzuri, matiti yake na yakutosheleze siku zote, nawe utekwe daima na upendo wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kulungu jike apendaye, kulungu mzuri: matiti yake na yakutosheleze siku zote, nawe utekwe daima na upendo wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Matiti yake yakutoshe siku zote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni mzuri kama ayala, apendeza kama paa. Mahaba yake yakufurahishe kila wakati, umezwe daima na pendo lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Anafanana na kulungu mke apendezaye, tena na paa mke afurahishaye, maziwa yake yakuchangamshe siku zote, kwa upendo wake na uwe pasipo kukoma kama mtu alewaye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni ayala apendaye na paa apendezaye; Maziwa yake yakutoshe sikuzote; Na kwa upendo wake ushangilie daima.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni muzuri kama pongo, anapendeza kama paa. Mapenzi yake yakufurahishe kila wakati, uvutwe siku zote na mapendo yake.