Proverbs 5:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumbuka njia za mtu zi wazi mbele ya Mwenyezi-Mungu; yeye anaona kila hatua anayochukua binadamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za Mwenyezi Mungu, naye huyapima mapito yake yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana njia za mwanadamu zi mbele za macho ya Bwana, Na mienendo yake yote huitafakari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumbuka njia za mtu zi wazi mbele ya Mwenyezi-Mungu; yeye anaona kila hatua anayochukua binadamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za BWANA, naye huyapima mapito yake yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za bwana, naye huyapima mapito yake yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana njia za mwanadamu ziko mbele ya macho ya BWANA, Na mienendo yake yote huitafakari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumbuka njia za mtu zi wazi mbele ya Mwenyezi-Mungu; yeye anaona kila hatua anayochukua binadamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani machoni pa Bwana njia za kila mtu ziko waziwazi, yeye ndiye anayeyatengeneza mapito ya kila mtu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana njia za mwanadamu zi mbele za macho ya BWANA, Na mienendo yake yote huitafakari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana mwenendo wa kila mutu ni wazi mbele ya Yawe; yeye anachunguza njia zake zote.