Proverbs 5:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu mwovu hunaswa kwa uovu wake mwenyewe; hukamatwa katika tanzi za dhambi yake mwenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maovu yake yeye yatampata mdhalimu, Naye atashikwa kwa kamba za dhambi zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu mwovu hunaswa kwa uovu wake mwenyewe; hukamatwa katika tanzi za dhambi yake mwenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maovu yake yeye yatampata mdhalimu, Naye atashikwa kwa kamba za dhambi zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu mwovu hunaswa kwa uovu wake mwenyewe; hukamatwa katika tanzi za dhambi yake mwenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Manza, alizozikora mwenyewe, zitamnasa asiyemcha Mungu, akamatwe na kamba za makosa yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maovu yake yeye yatampata mdhalimu, Naye atashikwa kwa kamba za dhambi zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu mwovu ananaswa kwa uovu wake mwenyewe; anakamatwa na vifungo vya zambi yake mwenyewe.