Proverbs 5:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mdomo wa mwanamke mpotovu ni mtamu kama asali, maneno yake ni laini kuliko mafuta;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba hudondoza asali, na maneno ya kinywa chake ni laini kuliko mafuta;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mdomo wa mwanamke mpotovu ni mtamu kama asali, maneno yake ni laini kuliko mafuta;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba hudondoza asali, na maneno ya kinywa chake ni laini kuliko mafuta,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana midomo ya mwanamke kahaba hudondoza asali, na maneno ya kinywa chake ni laini kuliko mafuta;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana midomo ya malaya hudondosha asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mdomo wa mwanamke mpotovu ni mtamu kama asali, maneno yake ni laini kuliko mafuta;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani midomo ya mwanamke mgeni hudondosha asali, kinywa chake nacho huteleza kuliko mafuta.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana midomo ya malaya hudondoza asali, Na kinywa chake ni laini kuliko mafuta;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Midomo ya mwanamuke mupotovu ni mitamu kama asali, maneno yake ni laini kuliko mafuta;