Proverbs 5:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye haijali njia ya uhai, njia zake ni za kutangatanga, wala hajui.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye hafikirii kuhusu njia ya uzima; njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutanga-tanga wala hana habari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye haijali njia ya uhai, njia zake ni za kutangatanga, wala hajui.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye hafikiri juu ya njia ya uzima, njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye hafikiri juu ya njia ya uzima; njia zake zimepotoka, lakini yeye hajui.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutangatanga wala hana habari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye haijali njia ya uhai, njia zake ni za kutangatanga, wala hajui.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
asiishike njia iendayo uzimani iliyo sawa, wala asijue, jinsi mapito yake yanavyopotea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima; Njia zake ni za kutanga-tanga wala hana habari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye haijali njia ya uzima, njia zake ni za kutangatanga, wala hajui.