Proverbs 6:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara utakufuata kama jambazi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
umaskini utakuja juu yako kama mnyang’anyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo umaskini utakuvamia kama mnyang'anyi, ufukara utakufuata kama jambazi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo umaskini wako huja kama mnyang'anyi na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyang’anyi, na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo umaskini wako huja kama mnyang'anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo umaskini utakuvamia kama mnyanganyi, ufukara utakufuata kama jambazi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha umaskini utakujia kama mpiga mbio pamoja na ukosefu ulio kama mtu aliyevaa mata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo umaskini wako huja kama mnyang’anyi, Na uhitaji wako kama mtu mwenye silaha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule umasikini utakushambulia kama munyanganyi, ukosefu utakufuata kama mwizi mwenye silaha.