Proverbs 6:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akiwa amejaa ulaghai moyoni hutunga maovu, huzusha ugomvi kila mahali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye hupanga ubaya kwa udanganyifu moyoni mwake: daima huchochea fitina.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mna upotofu moyoni mwake, hutunga uovu daima, Hupanda mbegu za magomvi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akiwa amejaa ulaghai moyoni hutunga maovu, huzusha ugomvi kila mahali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye hupanga ubaya kwa udanganyifu moyoni mwake: daima huchochea fitina.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye hupanga ubaya kwa udanganyifu moyoni mwake: daima huchochea fitina.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mna upotovu moyoni mwake, hutunga uovu daima, Hupanda mbegu za magomvi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akiwa amejaa ulaghai moyoni hutunga maovu, huzusha ugomvi kila mahali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huwaza mapotovu moyoni mwake akitunga mabaya pasipo kukoma, huchokoza, agombanishe watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mna upotofu moyoni mwake, hutunga uovu daima, Hupanda mbegu za magomvi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akiwa amejaa mabaya ndani ya moyo, anatunga maovu. Anaamusha ugomvi kila pahali.