Proverbs 6:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuna vitu sita anavyovichukia Mwenyezi Mungu, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuna vitu sita anavyovichukia bwana, naam, viko saba vilivyo chukizo kwake:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yako mambo sita yamchukizayo Bwana, tena yako mambo saba yauchafuaye moyo wake:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuna vitu sita anavyovichukia BWANA; Naam, viko saba vilivyo chukizo kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna vitu sita Yawe anavyochukia, hata saba ambavyo ni chukizo kwake: