Proverbs 6:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo, na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
shahidi wa uongo ambaye humwaga uongo, na mtu ambaye huchochea fitina kati ya ndugu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu achocheaye fitina kati ya ndugu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
shahidi ya uwongo asemaye ya kuongopa naye achokozaye, agombanishe ndugu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Shahidi wa uongo asemaye uongo; Naye apandaye mbegu za fitina kati ya ndugu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mushuhuda wa uongo anayesema uongo, na mutu anayechochea fitina kati ya wandugu.