Proverbs 6:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
umejibana kwa maneno yako mwenyewe, umejinasa kwa ahadi uliyofanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kama umetegwa na ulichosema, umenaswa kwa maneno ya kinywa chako,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
umejibana kwa maneno yako mwenyewe, umejinasa kwa ahadi uliyofanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kama umetegwa na ulichosema, umenaswa kwa maneno ya kinywa chako,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kama umetegwa na ulichosema, umenaswa kwa maneno ya kinywa chako,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
umejibana kwa maneno yako mwenyewe, umejinasa kwa ahadi uliyofanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kama umejifunga kwa maneno ya kinywa chako, ukanaswa na maneno ya kinywa chako,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ikiwa umejifunga kwa maneno yako mwenyewe, utajinasa kwa ahadi uliyofanya;