Proverbs 6:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yatakuongoza njiani mwako, yatakulinda wakati ulalapo, yatakushauri uwapo macho mchana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unapotembea, yatakuongoza; unapolala, yatakulinda; unapoamka, yatazungumza nawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uendapo yatakuongoza, ulalapo yatakulinda, Na uamkapo yatazungumza nawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yatakuongoza njiani mwako, yatakulinda wakati ulalapo, yatakushauri uwapo macho mchana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati utembeapo, yatakuongoza, wakati ulalapo, yatakulinda, wakati uamkapo, yatazungumza nawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati utembeapo, yatakuongoza; wakati ulalapo, yatakulinda; wakati uamkapo, yatazungumza nawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uendapo yatakuongoza, ulalapo yatakulinda, Na uamkapo yatazungumza nawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yatakuongoza njiani mwako, yatakulinda wakati ulalapo, yatakushauri uwapo macho mchana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukitembea, na yakuongoze! Ukilala na yakulinde, ukiamka, na yaongee na wewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uendapo yatakuongoza, ulalapo yatakulinda, Na uamkapo yatazungumza nawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yatakuongoza katika njia yako, yatakulinda wakati unapolala, yatakushauria unapoamuka.