Proverbs 6:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu hupoteza kipande cha mkate kwa malaya, lakini kwa mke wa mtu mwingine utapoteza uhai wako wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana kahaba atakufanya uwe maskini, hata ukose kipande cha mkate, naye mwanamke mzinzi huwinda maisha yako hasa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu hupoteza kipande cha mkate kwa malaya, lakini kwa mke wa mtu mwingine utapoteza uhai wako wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana kahaba atakufanya uwe maskini hata ukose kipande cha mkate naye mwanamke mzinzi huwinda maisha yako hasa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana kahaba atakufanya uwe maskini, hata ukose kipande cha mkate, naye mwanamke mzinzi huwinda maisha yako hasa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu hupoteza kipande cha mkate kwa malaya, lakini kwa mke wa mtu mwingine utapoteza uhai wako wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kwa ajili ya mwanamke mgoni mtu hutoa mali, mpaka akose hata kipande cha mkate; naye mwanamke wa mwingine huotea, mpaka aipate nayo roho ya mtu isiyolipika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu anapoteza kipande cha mukate kwa kahaba, lakini mwanamuke muzinzi atapoteza uzima wako wote.