Proverbs 6:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndivyo alivyo mwanamume alalaye na mke wa mwenzake; yeyote anayemgusa mwanamke huyo hataacha kuadhibiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndivyo alivyo mtu alalaye na mke wa mwanaume mwingine; hakuna yeyote amgusaye huyo mwanamke ambaye hataadhibiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo alivyo aingiaye kwa mke wa jirani yake; Kila mtu amgusaye huyo atakuwa na hatia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndivyo alivyo mwanamume alalaye na mke wa mwenzake; yeyote anayemgusa mwanamke huyo hataacha kuadhibiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndivyo alivyo mtu alalaye na mke wa mwanaume mwingine; hakuna ye yote amgusaye huyo mwanamke ambaye hataadhibiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndivyo alivyo mtu alalaye na mke wa mwanaume mwingine; hakuna yeyote amgusaye huyo mwanamke ambaye hataadhibiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo alivyo aingiaye kwa mke wa jirani yake; Kila mtu amgusaye huyo atakuwa na hatia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndivyo alivyo mwanamume alalaye na mke wa mwenzake; yeyote anayemgusa mwanamke huyo hataacha kuadhibiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, mtu alivyo akiingia kwa mke wa mwenziwe, kwao wote wamgusao hakuna atokaye pasipo kukora manza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo alivyo aingiaye kwa mke wa jirani yake; Kila mtu amgusaye huyo atakuwa na hatia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ndivyo mwanaume anayelala na muke wa mwenzake anavyokuwa; yeyote anayemugusa mwanamuke yule hataacha kuazibiwa.