Proverbs 6:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
lakini akipatikana lazima alipe mara saba; tena atatoa mali yote aliyo nayo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini akikamatwa, lazima alipe mara saba, ingawa inamgharimu utajiri wote wa nyumba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini akipatikana, atalipa mara saba; Atatoa mali yote ya nyumba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
lakini akipatikana lazima alipe mara saba; tena atatoa mali yote aliyo nayo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Pamoja na hayo, kama akikamatwa, lazima alipe mara saba, ingawa inamgharimu utajiri wote wa nyumba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Pamoja na hayo, kama akikamatwa, lazima alipe mara saba, ingawa inamgharimu utajiri wote wa nyumba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini akipatikana, atalipa mara saba; Atatoa mali yote ya nyumba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
lakini akipatikana lazima alipe mara saba; tena atatoa mali yote aliyo nayo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akikamatwa hulipa mara saba, ijapo atoe mali zote, alizo nazo nyumbani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini akipatikana, atalipa mara saba; Atatoa mali yote ya nyumba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
lakini akipatikana anapaswa kulipa mara saba, tena atatoa mali yote anayokuwa nayo.