Proverbs 6:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana wivu wa mume humfanya kuwa mkali kabisa; wakati atakapolipiza kisasi hana cha kuhurumia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa maana wivu huamsha ghadhabu ya mume, naye hataonesha huruma alipizapo kisasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana wivu ni ghadhabu ya mtu; Wala hatahurumia siku ya kujilipiza kisasi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana wivu wa mume humfanya kuwa mkali kabisa; wakati atakapolipiza kisasi hana cha kuhurumia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa maana wivu huamsha ghadhabu ya mume, naye hataonyesha huruma alipizapo kisasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa maana wivu huamsha ghadhabu ya mume, naye hataonyesha huruma alipizapo kisasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana wivu ni ghadhabu ya mtu; Wala hatahurumia siku ya kujilipizia kisasi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana wivu wa mume humfanya kuwa mkali kabisa; wakati atakapolipiza kisasi hana cha kuhurumia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wivu ni kama moto wa mtu wa kiume, haoni huruma anapojilipiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana wivu ni ghadhabu ya mtu; Wala hatahurumia siku ya kujilipiza kisasi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana wivu wa mume unamufanya kuwa mukali kabisa; wakati atakapolipiza kisasi hana kitu cha kuhurumia.