Proverbs 6:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hatakubali fidia yoyote; wala kutulizwa na zawadi zako nyingi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hatakubali fidia yoyote; atakataa malipo, hata yakiwa makubwa kiasi gani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hatakubali ukombozi uwao wote; Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hatakubali fidia yoyote; wala kutulizwa na zawadi zako nyingi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hatakubali fidia yo yote; atakataa malipo hata yakiwa makubwa kiasi gani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hatakubali fidia yoyote; atakataa malipo, hata yakiwa makubwa kiasi gani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hatakubali fidia yoyote; Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hatakubali fidia yoyote; wala kutulizwa na zawadi zako nyingi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hatazami kabisa makombozi yo yote, ingawa mtolee matunzo mengi, hayataki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hatakubali ukombozi uwao wote; Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hatakubali malipo yoyote; wala kutulizwa na zawadi zako nyingi.