Proverbs 6:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jiokoe kwa kujitoa katika mtego huo, mithili ya paa ama ndege amtorokavyo mwindaji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jiweke huru, kama paa kutoka mkononi mwa mwindaji, kama ndege kutoka mtego wa mwindaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ujiponye kama paa na mkono wa mwindaji, Na kama ndege katika mkono wa mtega mitego.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jiokoe kwa kujitoa katika mtego huo, mithili ya paa ama ndege amtorokavyo mwindaji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jiweke huru, kama swala mkononi mwa mwindaji, kama ndege kutoka kwenye mtego wa mwindaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jiweke huru, kama swala mkononi mwa mwindaji, kama ndege kutoka kwenye mtego wa mwindaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ujiponye kama paa na mkono wa mwindaji, Na kama ndege katika mkono wa mtega mitego.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jiokoe kwa kujitoa katika mtego huo, mithili ya paa ama ndege amtorokavyo mwindaji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ponyoka mkononi mwake kama paa, au kama ndege anavyoponyoka mkononi mwa mtega tanzi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ujiponye kama paa na mkono wa mwindaji, Na kama ndege katika mkono wa mtega mitego.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ujiokoe kwa kujitoa katika mutego ule, ujiponyeshe kama vile paa au ndege anayemutoroka mwindaji.