Proverbs 6:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe mvivu, utalala hapo mpaka lini? Utaamka lini katika usingizi wako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaamka lini kutoka usingizi wako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaondoka lini katika usingizi wako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe mvivu, utalala hapo mpaka lini? Utaamka lini katika usingizi wako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaamka lini kutoka katika usingizi wako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaamka lini kutoka usingizi wako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ewe mvivu, utalala hadi lini? Utaondoka lini katika usingizi wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe mvivu, utalala hapo mpaka lini? Utaamka lini katika usingizi wako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe mvivu, unataka kulala mpaka lini? utaamka lini katika usingizi wako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ewe mvivu, utalala hata lini? Utaondoka lini katika usingizi wako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ewe muvivu, utalala pale mpaka wakati gani? Utaamuka wakati gani katika usingizi wako?