Proverbs 7:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mara barabarani, mara sokoni, katika kila kona ya njia hakosekani akivizia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mara kwenye barabara za mji, mara kwenye viwanja vikubwa, kwenye kila pembe huvizia.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara yu katika njia kuu, mara viwanjani, Naye huotea kwenye pembe za kila njia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mara barabarani, mara sokoni, katika kila kona ya njia hakosekani akivizia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mara kwenye barabara za mji, mara kwenye viwanja vikubwa, kwenye kila pembe huvizia.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mara kwenye barabara za mji, mara kwenye viwanja vikubwa, kwenye kila pembe huvizia.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara yuko katika njia kuu, mara viwanjani, Naye huotea kwenye pembe za kila njia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mara barabarani, mara sokoni, katika kila kona ya njia hakosekani akivizia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
mara moja yuko barabarani, mara nyingine yuko uwanjani, huvizia po pote penye njia panda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara yu katika njia kuu, mara viwanjani, Naye huotea kwenye pembe za kila njia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mara katika barabara, mara katika soko, pembeni ya njia hakosekani akivizia.