Proverbs 7:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Njoo tulale pamoja mpaka asubuhi; njoo tujifurahishe kwa mahaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njoo, tuzame katika mapenzi hadi asubuhi; tujifurahishe wenyewe kwa mapenzi!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, na tushibe upendo hata asubuhi, Tujifurahishe nafsi zetu kwa mahaba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Njoo tulale pamoja mpaka asubuhi; njoo tujifurahishe kwa mahaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoo, tuzame katika mapenzi mpaka asubuhi, tujifurahishe wenyewe kwa mapenzi!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njoo, tuzame katika mapenzi mpaka asubuhi; tujifurahishe wenyewe kwa mapenzi!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, na tushibe upendo hadi asubuhi, Tujifurahishe nafsi zetu kwa mahaba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Njoo tulale pamoja mpaka asubuhi; njoo tujifurahishe kwa mahaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya! Njoo, tulileweshe na kukumbatiana hata asubuhi tukifurahishana kwa mapendano!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, na tushibe upendo hata asubuhi, Tujifurahishe nafsi zetu kwa mahaba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuja! Tufanye mapenzi mpaka asubui; kuja tujifurahishe kwa mapenzi.